Alexis Sanchez signs for Man Utd
Alexis Sanchez has signed for Manchester United after agreeing terms on his new contract, according to the Daily Mail.
The
Chilean forward, who will earn £450,000...
00Main
The Everton midfielder suffered a serious injury after making an
attempt to block a West Brom shot and Sam Allardyce confirmed the worst
newsEverton midfielder James McCarthy has suffered...
Premier League
FT4 Arsenal 1 Crystal Palace
FT0 Brighton & Hove Albion 4 Chelsea
FT0 Burnley 1 Manchester United
FT1 Everton 1 West Bromwich Albion
FT2 Leicester City 0 Watford
...
Arsenal iliicharaza Crystal Palace
4-1 huku Chelsea ikiifunga mdomo Brighton 4-0 katika mechi za ligi ya
Uingereza siku ya Jumamosi.
The Gunners walikosa huduma za
mchezaji Alexis Sanchez, ambaye...
Wabunge wa jimbo la Catalonia jana wamemchagua mwanasiasa anayeunga mkono kujitenga na Uhispania kama spika wa bunge, ikiwa ni hatua ya kwanza ya mpango wao wa kutaka kumrejesha Carles Puigdemont, kiongozi...
Rais Dkt.John Pombe Magufuli amemteua Dk Titus Mwinuka kuwa Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Umeme nchini Tanzania Tanesco.
Kwa habari zaidi soma taarifa ya ikulu hapa….
...
Korea kusini imesema itashughulika na Korea kaskazini kwa kile alichokiita '' Macho ya wazi'' baada ya kukamilika mpango wa kuweka timu moja ya pamoja katika michezo ya majira ya baridi ya Olympics inayofanyika...
Watanzania wawili wametangazwa washindi wa Tuzo ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya Fasihi ya Afrika kwa mwaka 2017.
Wawili hao watazawadiwa $5,000 kila mmoja katika sherehe ambayo itafanyika jijini Nairobi...
Kiungo wa kibrazil Philippe Coutinho amesema uhamisho wake kwenda Barcelona ni ndoto iliyokamilika.
Kiungo huyo alieleza hisia zake za kutimiza ndoto yake alipokuwa...
Bingwa mtetezi wa michuano ya kombe la Fa klabu ya Arsenal imeondolewa katika michuano hiyo kwa kuchapwa 4-0 na Nottingham Forest.
Beki wa Nottingham Forest Eric...
Mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, 26, ataitisha pauni 400,000 kwa wiki kuzuia ofa ya Chelsea ili kujiunga na Manchester United. (Sun)
Chelsea wanamtaka mshambuliaji wa Borussia Monchengladbach...
NBA - Regular Season January 4
FT
L. A. Lakers 96-133 Oklahoma City Thunder
January 5
FT
Houston Rockets-114
Golden State Warriors. -124
-
HT
L. A. Clippers 64
Oklahoma City Thunder 64
...
England - Premier League January 4
FT Tottenham Hotspur 1 - 1 West Ham United
Spain - Copa del Rey January 4
FT Celta Vigo 1 - 1 Barcelona FT Leganes 1 - 0 Villarreal FT Espanyol 1 - 2 Levante FT Numancia...
Everton wamekubaliana na klabu ya Besiktas ya Uturuki kuhusu kumnunua mshambuliaji Cenk Tosun.
Meneja wa Everton Sam Allardyce amesema kilichosalia sasa ni makubaliano kati ya klabu na mchezaji huyo.
...
Nyota wa timu ya Liverpool ambaye ni raia wa Misri, Mohamed Salah ametangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika wa mwaka 2017 Shirikisho la soka barani Afrika (CAF).
Salah...
Korea Kaskazini imekubali kushiriki mazungumzo ya ngazi ya juu wiki ijayo kuhusu kushiriki kwa wachezaji wake katika michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi, Korea Kusini...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole ametishia kung’oa kiongozi wa Chadema ndani ya mkoa wa Dar es salaam.
Polepole ameyasema hayo baada ya madiwani wawili wa CHADEMA...