Biashara ya vipodozi ni mojawapo ya biashara inayoingiza mamilioni ya shilingi nchini tanzania na imepanuka dunia nzima.Mahitaji ya vipodozi ni ya hali ya juu sana na wanaofanya biashara hii wanapata faida kubwa sana.Biashara hii unaweza kuanzisha na mtaji wowote uwe mkubwa ama mdogo na inahitaji ujuzi mdogo tu bila hata kusoma.Kama unapenda biashara hii endele kusoma..
Jinsi ya kuanzisha biashara ya ushambazaji wa vipodozi.
1.Jifunze jinsi biashara hii inavyoendeshwa
Hatua hii ni muhimu kwa biashara yoyote ile.Tafuta watu wanaofanya biashara hii waulize maswali yanakutatiza jenga urafiki nao pia unaweza kufuatia vipindi mbalimbali vya urembo, matamasha na magazeti.
2.Tafuta aina ya vipodozi ungependelea kuuza.
Baada ya kupata uelewa wa aina ya vipodozi basi tafuta aina gani ungependelea kuuza hakikisha unajili makundi ya umri(mara nyingi vijana), aina ya ngozi, eneo imani ya ndani(ideology) na jinsia . Kuna vipodozi vinatumiwa na watu wa umri wote, pia kuna vipodozi vinatumiwa na vijana tu.Kisha chagua bidhaa ilikuvutia kuifanya.
3.Tafuta jinsi ya kupata bidhaa kutoka wa watengenezaji ama wasambaziji wakubwa(wauzaji wa jumla)
Baada ya kuwa na orodha wa wasambazaji wakubwa waeleze jinsi unataka kuanzisha biashara yako na jinsi utavyoendesha biashara yako watakusaidia ushauri.Kumbuka biashra haitakiwa iwe wazi kila kitu maelezo mafupi yenye mifano halisi.
4.Anzisha biashara.
Hatua ya mwisho ni kuanzisha biashara yako kwa mtaji ulionao hakikisha umechagua sehemu nzuri, rahisi kuonekana, sehemu yenye watu wengi ama wanapopita mara kwa mara,