Njombe mji kutesti mitambo

@oscarnickson   Club ya Njombe Mji hiii Leo watashuka dimbani jioni ya hii Leo kukibiga dhidi ya maji maji ya songea katika uwanja Wa saba saba mkoani Njombe na afisa habari Wa club hiyo solanus Mhagama amesema maandalizi ya mchezo huo yamekamilika


SHARE THIS
Previous Post
Next Post