Jezi zakabidhiwa basketball mbeya

Jana tar 14.12.2017 kampuni ya AJIM ENTERPRISES LTD - MWAMPONDELE ili zipatia jezi timu mbili za basket ball za jijini Mbeya MBEYA FLAMES basket ball ya wanawake na MBEYA FLAMES Basket ball ya wanaume. Makabidhiano haya yamefanyika ktk uwanja wa YOUTH CENTER wa jijini Mby. Jezi hizo zilika bidhiwa na afisa nasoko wa kampuni ya AJIM ndg Marijani na Isack Mwampondele.


SHARE THIS
Previous Post
Next Post