BREAKING NEWS
LUDEWA:Kufuatia mvua kubwa zilizoambatana na ngurumo na radi kali zinazoendelea kunyesha wilayani ludewa mkoani njombe, zimepelekea Wat 11 kupigwa na radi katika kambi ya wajawazito wanaosubiri siku zao za kujifungua zitimie (maarufu kama MIEMBENI) huku wawili kati yao hali zao si nzuri.
Taarifa tulizozipata za awali zinasema kuwa chanzo cha kupigwa na radi, ni mmoja kati ya majeruhi hao alikuwa akiongea na simu wakati mvua hiyi inaendelea kunyesha.
mganga mfawidhi wilaya ya Ludewa bw.SEURI MOLLEL amethibitisha kupokea majeruhi 11 katika hospitali ya wilaya ya ludewa na wanaendelea kupatiwa matibabu.
Ili kupata undania wa taarifa hii endelea kutufuatilia katika page yetu ya Best fm ludewa 90.3 & BEST FM REDI 90.3
Author: Mdigital beatz
Related Posts
Some simillar article from this label, you might also like
- Blog Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)