ALIKIBA NA NANDY MASHUJAA WA TANZANIA TUZO ZA AFRIMA 2017
Ni siku nyingine, ni tukio jingine lililosubiriwa sana na Watanzania pia wakitaka kujua matokeo yatakuaje kwa Watanzania walioshiriki kwenye tuzo hizo za ALL AFRICA MUSIC AWARDS 2017 ( AFRIMA)
Nandy
Good news ni kwamba Mwimbaji wa Tanzania staa wa hit single ‘wasikudanganye’ ameshinda tuzo ya Msanii Bora wa kike upande wa Afrika Mashariki wakati Mtanzania mwingine Alikiba ameshinda tuzo mbili.
Alikiba
Tuzo za Alikiba ni Best Artist or Group in African RnB and Soul ambayo ameshinda pamoja na Rapper wa Nigeria M.I ambae walifanya pamoja Smash Hit ya ‘Aje” na tuzo nyingine ni Kolabo Bora ya Afrikaambapo smash hit ya “Aje” imechukua…….. List kamili ya Washindi wote itakujia soon hapahapa