LULU AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MIWILI JELA



Ikiwa ni siku 18 toka mahakama iseme itatoa hukumu Leo November 13 2017, pamekuwa na presha kubwa mtaani kuhusu hukumu ya Lulu na kesi hii kwa ujumla,


Leo mahakamani Mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ amehukumiwa kifungo cha Miaka Miwili Jela baada ya kukutwa na hatia kwenye kesi ya kumuua bila kukusudia Mwigizaji Steven Kanumba


Elizabeth Michael (Lulu) anahukumiwa kwa kumuaa aliyekuwa mpenzi wake Steven Charles Kanumba ambaye pia ni muigizaji mwenzake, mnamo April 7, 2012, wakati tukio hili linatokea Lulu alikuwa na miaka 17 na sasa anamiaka 22.



SHARE THIS
Previous Post
Next Post