Baada ya colabo na Diamond Platnumz, Rick Ross atambulisha hii biashara yake mpya

Baada ya kukamilisha colabo na mtanzania Diamond Platnumz, Rapa Rick Ross ametambulisha hii biashara yake mpya ya dawa za nywele na ndevu.
Boss huyu wa leo ya MMG amefungua biashara ya kuuza dawa za Nywele na Ndevu za RICH Hair Care Brand,
Dawa hizi zitaanza kuuzwa January mwaka 2018.


SHARE THIS
Previous Post
Next Post