ALIYE FANYA MAUUAJI KWA NDUGU WA DRAKE AKAMATWA

Image result for fif lobby
Siku sita zilizo pita sta wa muziki nchini marekani maarufu kama drake kupitia ukuras wake wa instagram alithibisha kifo cha rafiki yake kipenzi FIF , kulikuwa na uvumi kuwa fif alipigwa risasi katika jiji la toronto lakini kulikuwa hakuna uthibisho mpaka muda mchache baadaye ambapo  TMZ,ilifanikiwa kuipata video ambayo inaelezea namna fif alivyouawa video hiyo inaelezea ya kuwa fif alisimama nje ya chumba chake huko toronto ambapo vijana wawili walijitokeza na kutupia risasi zaidi ya 10 na kukimbia.
R.I.P FIF

SHARE THIS
Previous Post
Next Post