TETEMEKO LA UWA RAIA MEXICO
Usiku wa kuamukia leo nchi ya Mexico imekumbwa na tetemeko la aridhi ambalo limeua watu zaidi ya 150, huku likifanya uharibifu mkubwa wa miundombinu pamoja na majengo katika mji mkuu wa mexico, mexico city
mpaka sasa bado waokoaji wanaendelea kufanya ukaguzi maeneo mbali mbali ya mji huo,tetemeko hilo lenye ukubwa wa magnitude 7.1 limesababisha maafa katika miji ya morelos ,puebla na jij la mexico,mexico ni ichi inaayokabiliwa na matetemeko mara kwa mara kwani ni mwanzo wa mwezi huu tu, tetemeko lenye ukubwa wa magnitude 8.1 upande wa kusini mwa nchi hiyo na kupelekea vifo vya watu 90.