Usiku wa 2/6/2018 Mbeya imeshudua Tukio kubwa la kihistoria katika buruduni, sanaa, na mitindo.
Tukio hilo lilifanyika viwanja vya chuo kikuu cha TEKU liki husisha utafutaji wa Mlimbwende na mtanashati wa chuo kikuu cha Teku.
Tukio hilo liliongozwa na kuhudhuriwa na maarufu kadhaa pamoja na majaji wazoefu
katika masuala hayo
Author: Mdigital beatz
Previous Post
Download MONTIZZO Classic - BWEGE MP3
Download MONTIZZO Classic - BWEGE MP3
- Blog Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)