Emmanuel Okwi ametwaa tuzo ya mchezaji anayependwa zaidi na mashabiki kwa wachezaji wanaocheza soka la ndani nchini Uganda.
Zawadi hiyo ameipata kutokana na kuchezea SC Villa katika msimu wa 2015/16.
Author: Mdigital beatz
Related Posts
Some simillar article from this label, you might also like
- Blog Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)