Dirisha la usajiri VPL lafungwa

@oscarnickson  *USAJILI ULIOKAMILKA NA WALIOTOKA*

1.SIMBA SC

```WALIOINGIA```
A-Asante Kwasi,
B-Jonas Sakuwaha
C-Antonio Dayo Domingues

WALIOTOKA
A-Method Mwanjali
B-Mghana Nicholas Gyan
C-Laudit Mavugo. 
D-Jamal mnyate

Yanga sc
WALIOINGIA
A-Fiston 'Festo' Kayembe
B-Yohanna Nkomola 

WALIOTOKA
HAKUNA

Azam FC
WALIONGIA
A-Bernard Arthur

WALIOTOKA HAKUNA

Singida United

WALIOINGIA
A-Lubinda Mundia B-Daniel Lyanga
C-Kambale Salita 'Papy Kambale'
D-Issa Makamba,
E-Assad Juma,
F-Ally Ng’azi
G-Mohamed Abdallah

WALIOTOKA
1-Atupele Green
2-Pastory Athanas  3-Mohamed Titi
4-Frank Zakaria

Mbeya City

WALIOINGIA
1-George Mpole
2-Abubakar Shaaban 

WALIOTOKA
1-Emmanuel Kakuti 2-Mrisho Ngassa


SHARE THIS
Previous Post
Next Post