THE LEGENDS OF THE SOCCER SEASON ONE

CHRISTIANO RONALDO
      EPISODE 2
Muendelezo

Ronaldo Alikumbwa Na Tatizo La Mapigo Ya Moyo Kitu Ambacho Kinge weza Kupelekea Kukataa Tamaa Katika Ndoto Zake Za Kucheza Soka Kimataifa, Hivyo Ilimlazimu Yeye Na Mama Yake Kufanya Utaratibu Wa Kuonana Na Daktari, Na Baadaye Daktari Aliwaambia Ni Lazima Afanyiwe Upasuaji Ili Kutibu Sehemu Athirika Katika Moyo Wake,kutokana Hakuwa Tayari Kukatisha Ndoto Yake Hivyo Hakuwa Na Budi Kukubaliana Na Uamuzi Huo,masaa Machache Baada Ya Kutibiwa AlirUhusiwa Kutoka Hospitalini.Na Baada Ya Siku Chache Ronaldo Aliendelea Na Mafunzo Yake Katika Academia Kama Ilivyo Kawaida.
Akiwa Na Miaka 16,mwaka 2001,
Mwalimu Laszlo Bolon Wa Timu Kubwa Ya Sporting Cp Alivutiwa Na Uchezaji Vyenga Wa Ronaldo, Aliamua Kumpandisha Daraja Kutoka Academia Ya Vijana Mpaka Timu Kubwa Ya Sporting Cp.Kitendo Hiki Kikawa Ni Mwanzo Wa Ronaldo Kuandika Rekodi, Kwani Akawa Ni Mchezaji Wa Kwanza Kucheza Katika Timu Za Chini Ya Miaka 16,miaka 17,miaka 18,timu Ya Pili Na Timu Ya Kwanza Kwa Msimu Mmoja Yaani 2000-2001; Mwaka Mmoja Baadaye Mnamo 7/10/2002, Ronaldo Alikaribishwa Rasmi Katika Ulimwengu Wa Soka La Wakubwa Katika Ligi Ya Primeira Liga Ya Huko Nchini Ureno, Siku Ambayo Sporting Cp Ilichuana Na Moreirre
Na Katika Mchezo Huo Ronaldo Alifanikiwa Kufunga Magoli Mawili Katika Ushindi Wa Jumla Ya Magoli 3-0 Dhidi Ya Moreirense, Mwaka Huo Ulikuwa Mwaka Wa Mafanikio Sana Kwake Kwani Pia Kwa Mara Ya Kwanza Alichaguliwa Katika Timu Ya Taifa Ya Ureno Chini Ya Miaka 17 Iliyokuwa Inashiriki Michuano Ya Ulaya Kwa Umri Huo.
Baada Ya Kuwa Na Msimu Mzuri Na Sporting Cp Mwaka 2002-2003, Klabu Mbalimbali Kubwa Zilianza Kutoa Mapendekezo Ya Kumta Kinda Huyo,miongoni Vilabu Hivyo Ni Liverpool Ilipokuwa Chini Ya Meneja Gerard Houllier, Fc Barcelona Ilipokuwa Chini Ya Rais Joan Larporta Lakini Kati Ya Wote Arsenal Ndio Walikuwa Mstari Wa Mbele Kwani Walimsafrisha Kutoka Ureno Mpaka London Kwa Ajili Ya Kukamilisha Dili Hilo, Lakini Wakashindwa Kufikia Maafikiano, Mwaka 2003,mwezi Wa 8, Ronaldo Alikuwa Chini Ya Uangalizi Wa Meneja Wa Manchester United Sir Alex Ferguson,hii Ilotekea Baada Ya Sporting Cp Kuifunga Manchester United Kwenye Michuano Ya Klabu Bigwa Ulaya, Ambapo Manchester Ilipoteza Kwa Jumla Ya Magoli 3-1 Katika Uwanja Wa Estadio Jose Alvalado Ulioko,lisbon,ureno; Kutokana Na Uwezo Aliuonesha Ronaldo Ferguson Alikiri Kwa Kusema "nimchezaji Wa Kwanza Kumuona Akifanya Vizuri Katika Umri Kama Wake" Sio Kocha Tu Hata Wachezaji Wa Manchester United Walivutiwa Sana Naye Hivyo Waliongeza Ushawishi Kwa Kocha Wao Kwamba Ni Vyema Akimpata Kinda Huyo.
  Katika Mwaka Huo Huo Ronaldo Alisajiliwa Na Manchester Kwa Thamani Inayokadri Kufikia Euro Millioni 17.5 Akitokea Sporting Cp, Kutokana Na Usajili Huo Ronaldo Aliweka Rekodi Ya Kuwa Mreno Wa Kwanza Kuchezea Klabu Hiyo Kubwa Na Inayofahamika Duniani Kote,pia Aliweka Rekodi Ya Kuwa Mchezaji Wa Kwanza Kwa Umri Wake Kufanyiwa Usajili Wa Gharama Hiyo Katika Historia Ya Soka La Uingereza.
Alipofokia Manchester Alipatiwa Jezi Namba 28 Kama Aliyokuwa Anaitumia Akiwa Sporting Cp,lakini Sir Furgeson Alipinga Na Kumpatia Jezi Namba 7 Iliyokuwa Na Heshima Yake Katika Timu Hiyo Kutokana Na Kuwahi Kuvaliwa Na Mastaa Maarufu Waliopita Katika Timu Hiyo Wakiwemo,George Best,Erick Cantona Na David Beckham.
Kitendo Cha Kupewa Jezi Namba 7 Kilikuwa Ni Kichocheo Moja Wapo Kilicho Mfanya Aongeze Bidii Ili Kuipatia Heshima Yake Jezi Hiyo Kama Walivyo Ifanyia Waliopita.
Kupitia Jezi Hiyo Ronaldo Alitangaza Ya Kuwa Miaka Mitatu Mbele Anataka Kuja Kuwa Miongoni Mwa Wanasoka Maarufu Zaidi Dunia ,Jambo Alilofanikiwa Kwa Asilimia Mia Moja.
Anaitumi Akiwa Sporting Cp,lakini Sir Furgeson Alipinga Na Kumpatia Jezi Namba 7 Iliyokuwa Na Heshima Yake Katika Timu Hiyo Kutokana Na Kuwahi Kuvaliwa Na Mastaa Maarufu Waliopita Katika Timu Hiyo Wakiwemo,George Best,Erick Cantona Na David Beckham.
Kitendo Cha Kupewa Jezi Namba 7 Kilikuwa Ni Kichocheo Moja Wapo Kilicho Mfanya Aongeze Bidii Ili Kuipatia Heshima Yake Jezi Hiyo Kama Walivyo Ifanyia Waliopita.
Kupitia Jezi Hiyo Ronaldo Alitangaza Ya Kuwa Miaka Mitatu Mbele Anataka Kuja Kuwa Miongoni Mwa Wanasoka Maarufu Zaidi Dunia ,Jambo Alilofanikiwa Kwa Asilimia Mia Moja.


SHARE THIS
Previous Post
Next Post