
CHRISTIANO RONALDO.
EPISODE 1.
Huyu ni miongoni mwa mastaa wanaliotikisa dunia na mpaka sasa wanaitikisa kutokana na mafanikio aliyoyapata katika soka. Ronaldo alizaliwa 2/5/1985 katika kijiji cha fuchal,Medeira nchini Ureno kwa waleno jina Ronaldo hutolewa kimira,.
Ronaldo ni mtoo wa nne wa maria Dolore dos santos na mumewe Jose Dinis Aveiro.Ronaldo amezaliwa na ndugu zake ambao ni kaka yake Hugo Aveiro na dada zake Elma Aveiro pamoja naLiliana catia Aveiro.Ronaldo amekulia katika fukwe ambayo kwa asilimia kubwa vilikuwa vinakaliwa na wafanyakazi wa viwandani,
wazazi wa Ronaldo walikuwa ni masikini hivyo walikuwa wakijipatia kipato kupitia kazi ndogo ndogo ambapo baba yake alikuwa ni mtunza maua/bustani huku mama yake akiwa ni muuza mgaya na mfanya usafi ili kujipatia ujira wakuwasukuma ki maisha ya kila siku. ugumu wa maisha kwa Ronaldo ulizihilishwa pale tu alipo ulizwa na gazeti la the mirror la uingereza kuhusu maisha yake ya awali Ronaldo alisema ya kuwa yeye na ndugu zake wote walikuwa wana lala chumba kimoja.
MAISHA YA SHULE.
Katika maisha ya shule mwana soka huyu hana historia nzuri kwani haja hitimu kiwango chochote cha elimu,japokuwa alisoma shule kwa muda mfupi na kujipatia umaarufu sana shule hapo kutokana na kujitu katika katika michezo huku akiwa na umri wa miaka 14.lakini mwaka huo huo wa 1999 alifukuzwa.ikiwa ni kutimiza maagizo ya mama yake kuwa aiingie katika soka rasmi.hivyo ilimpasa yeye kufanya kosa la kuvuta kiti cha mwalimu wake kosa lili pekekea kufukuzwa shule na huo ukawa ndio mwisho wa historia yake katika elimu.
KESHO NAYO NI SIKU HIVYO USIACHE KUFUATILIA MAKALA HII ILIKUWEZA KUYAJUA MENGI ZAIDI .AHSANTE