CHRISTIANO RONALDO
EPISODE 2.
MAISHA KATIKA SOKA
Kuanzia mwaka 1992 akiwa na miaka 7, alijiunga na mtaani kwao iyoitwa ANDORINNA, ambapo baba yake alikuwa ni mtunza vifaa vya timu,alicheza katika timu hiyo mpaka 1995 na miaka miwili mbele alichezea timu ya daraja la chini iliyoitwa NACIONAL kutoka 1995 mpaka 1997.mwaka 1997 mabalozi wa SPORTING CP walimuona kuwa endapo watasajili basi atawawasaidia ,hivyo walimchukuwa kwa muda wa siku tatu ili kumfanyia majaribio,katika majaribio hayo Ronaldo alijituma huku akionesha kila ufundi alionao katika soka kwa hivyo akachaguliwa katika timu ya Sporting cp
Author: Mdigital beatz
Related Posts
Some simillar article from this label, you might also like
- Blog Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)