Kocha wa Singida United Hans Pluijm ameutaka uongozi kuhakikisha wanasajili wachezaji wawili wapya kwenye nafasi ya ushambuliaji
Kocha Hans van der Pluijm wa Singida United, ameutaka uongozi wa timu hiyo kumwongezea washambuliaji wawili wazawa katika kipindi hiki cha dirisha dogo.
Pluijm ameiambia Goal, sababu ya kufanya hivyo ni kutaka safu yake ya ushambuliaji iweze kuwa tishio kama ilivyo kwa timu za Simba na Yanga ambazo ndiyo zinaongoza kwa kufunga mabao mengi katika mechi zao.
“Unajua tumeachana na Atupele Green, sasa lazima tuongeze washambuliaji wengine ili kufunga idadi kubwa ya mabao kama ilivyo kwa timu za Simba naYanga,” amesema Pluijm.
Kocha huyo amesema katika michezo 11, waliyocheza ya ligi amegudundua timu yake imetimia kila idara isokuwa ushambuliaji pekee.
Amesema kushindwa kupata idadi kubwa ya ushindi hilo ndilo linalompa hofu kwani ligi ya msimu huu ni ngumu na huenda bingwa akapatikana kwa wingi wa mabao na siyo pointi.
Singida United inashika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 20, huku Simba pamoja na Azam zikiongoza ligi kwa kujikusanyia pointi 23 na mabingwa watetezi Yanga wapo katika nafasi ya tatu wakiwa na pointi 21.
Uncategories

MKALI STERLING AMTIA UCHIZI PEP K...
BASI LA MOURINHO LASAMBARATIKA...
KISA CHA MESSI SIKU ZA MWANZO B...
SUAREZ TISHIO GOMES ANAINGUSHA...
MAJERAHA YA BALE YAIGHARIMU WALES
POCHETTINO AKIRI KUWA NA MAHABA...
GUARDIOLA: "HII NI SEPTEMBA TU"
RONALDO, MESSI & NEYMAR KUWANIA... UHABA WA MABAO WAMPELEKA SOKONI PLUIJM
Author: Mdigital beatz
Related Posts
Some simillar article from this label, you might also like
- Blog Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)